Its Rosa Re
Im the godess you can never be god
I gave you time to hit half of my boss
You — Cardi  do my Minaj
And so I stil rule over

Wameshika adabu waliotaka kunishika
Wamekufa wote waliotaka kunishika
Alafu ka unaamini utaweza kunipita
Basi anza kuamini aliyekuzaa bikra

The best rapper but I dont say shit
Straight to the point like am regency
And non of them of them can do it

Mugamba wanaruka na kukanyagana
Mnajiita wakai mnadanganyana
Unataka kwenda peponi unaogopa kiama
Mnajiita wakali mnadanganyana 

———————————–

———————-


Added by

Wale

SHARE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

-

-