Vee money on the track yeah
Kipendacho roho hula nyama
Mbichi baby
Nobody knows that you’re down for me baby
Baby niruhusu nideke nisichekwe
Iwe kwa ngumi mateke ruwe sote

Kila Mara akili yangu wewe tu umenifanya nimezama mwenzio
Kila Mara akili yangu wewe tu umenifanya nimezama mwenzio
Bado(the way that I do)

Bado(the thing that you do)

Bado(the way I love you)
Ooh Babyy you know… Bado

Nakufanya nikusahau(badoo)
Mpaka mi nikushushe dau(bado)
Na sipendagi madharau(badoo)

Nusu kaputi umenipiga nusu kaputi
Nusu kaputi umenipiga nusu kaputi

Vannyboy…

Alambaaa, alamba
Tamu tamu katoa maganda
Mwakibanda misamba mwakalete kavunja kitanda
Eeh kanitekenya, kanitekenya eeeh yeah
Kanitekenya
Eeh minapekenya pekenya pekenya, eeh yeah
Pekenya
Kuchukurukutu aah yeah
Kugandu kirubutu aah yeah
Njoo nikupe burungutu aah yeah
Mimi kwako zumbukuku aah yeah
Eeeh…

Kila Mara akili yangu wewe tu umenifanya nimezama mwenzio
Kila Mara akili yangu wewe tu umenifanya nimezama mwenzio
Baby ooh you know
Bado(The way that I do)

Bado(the thing that you do)

Bado(the way I love you)
Ooh babyy you know
Nakufanya nikusahau(badoo)
Mpaka mi nikushushe dau(bado)
Na sipendagi madharau(badoo)

Nusu kaputi umenipiga nusu kaputi
Nusu kaputi umenipiga nusu kaputi
Babyy you know.
Bado(The way that I do)

Bado(the thing that you do)

Bado(the way I love you)
Nakufanya nikusahau(badoo)
Mpaka mi nikushushe dau(bado)
Na sipendagi madharau(badoo)


Added by

Wale

SHARE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

-

-